Karibuni


Yaliyo Jili? MWENYEKITI WA JIMBO KUU KASKAZINI MWA TANZANIA DR.LEKUNDAYO AONGOZA HUDUMA YA KUWEKEWA MIKONO WACHUNGAJI ILIOFANYIKA KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO KIRUMBA MWANZA TANZANIA MWINJILISTI WA KIMATAIFA JAPHET MAGOTI AENDESHA JUMA LA MAOMBI LA WANA WA KIKE KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO KIRUMBA -MWANZA-TANZANIA KUANZIA


MISINGI YA IMANI YA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO

Waadventista wasabato huipokea Biblia kama kanuni yao pekee na hushika baadhi ya misingi ya imani kuwa ndiyo mafundisho ya mabadiliko matakatifu. Imani hizi kama zilivyoorodheshwa hapa hufanya welekevu wa kanisa na udhihirisho wa mafundisho ya mabadiliko. Masahihisho ya kauli hizi yanaweza kutegemewa katika kikao cha Halmashauri kuu wakati kanisa likiongozwa na Roho Mtakatifu kwenye ufahamu ulio kamili zaidi ya ukweli wa Biblia au linapopata lugha iliyo bora zaidi ya kuelezea mafundisho ya Neno Takatifu la Mungu.

Habari Matukio
  • MWENYEKITI WA JIMBO KUU KASKAZINI MWA TANZANIA DR.LEKUNDAYO AONGOZA HUDUMA YA KUWEKEWA MIKONO WACHUNGAJI ILIOFANYIKA KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO KIRUMBA MWANZA TANZANIA
  • MWINJILISTI WA KIMATAIFA JAPHET MAGOTI AENDESHA JUMA LA MAOMBI LA WANA WA KIKE KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO KIRUMBA -MWANZA-TANZANIA KUANZIA